TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MKATABA WA KUJITOLEA
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu, inawatangazia Watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi ya ajira za kujitolea kwa muda wa miezi kumi na mbili (12) kwa kada ya Mtunza Kumbukumbu Msaidizi (1) na Msaidizi wa Hesabu (2).
Mwisho wa kupokea maombi ni Tarehe 30/09/2026.
TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA.pdf


