Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu
(NYAUMATA MKOANI)

Gharama za uchangiaji wa huduma za dawaDAWA

GHARAMA


Aminophylline ya sindano

2000


Amoxicillin ya vidonge

50


Amoxicillin ya vidonge ya watoto

Bure


Ampicillin ya sindano

1500


Artesunate ya sindano

Bure


Benzathine penicillin ya sindano

1000


Benzyl penicilline  ya sindano

1000


Bomba la sindano

300


Ceftriaxone ya sindano

3000


Cetirizine ya maji

3000


Chanjo ya homa ya ini

20,000


Ciprofloxacin ya vidonge

200


kondom ya kiume

Bure


Dawa ya kuhara ya kuchanganya na maji (ORS)

500


Dawa ya maji ya kuongeza damu

Ferrous fumarate syrup

5000


Dawa ya sindano ya uzazi wa mpango (DEPO)

Bure


Dawa za kufubaza vvu

bure


Dawa za uzazi wa mpango za kumeza

Bure


Diclofenac gel ya kuchua

3000


Diclofenac ya vidonge

50


Ferrous+folic acid ya vidonge

100


Furosemide ya sindano

1500


Furosemide ya vidonge

50


Kipimo cha maralia cha haraka (MRDT)

Bure


Maji ya mishipa ya ringer lactate

2000


Metronidazole (flajili) ya vidonge

50


Nifedipine ya vidonge

200


Omeprazole  ya vidonge

200


oxytocin  ya Sindano

Bure


Paracetamol ya vidonge

20


Paracetamol ya maji

1500


Pen-v vidonge 

50


Maji ya mishipa ya DNS

2000


Sulphadoxine+pyrimethamine tablets (sp)

bure


Vidonge vya alu vya kumeza

Bure


Kondom ya kike

Bure


Diclofenac ya sindano

1000


Ampiclox ya maji

3000


Azithromycin ya vidonge

1000


Ampiclox ya vidonge

150


Cephalexin ya vidonge

3000


Erythromycin ya maji

3000


Erythromycin ya vidonge

100


Dawa za kutibu  kifua kikuu

bure

- 14 November 2019