Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa SIMIYU inatangaza nafasi za kazi ya Mkataba ya Mhasibu na Msaidizi wa hesabu SIMIYU RRH TANGAZO LA KAZI.pdf... Read More
Habari

Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa SIMIYU umepokea mashine ya kutengeneza mazao ya damu ambayo itasaidia upatikanaji wa mazao mbalimbali ya damu kulingana na uhitaji wa mgonjwa Afis... Read More

HOSPITALI ya Rufaa ya Mkoa wa SIMIYU Leo tarehe 27.09.2022 wametoa elimu ya kujikinga na maambukizi ya magonjwa kwa watumishi wa Kampuni ya usafi ya SUMA JKT. Mratibu wa maboresho Dkt. Pa... Read More

Viongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa SIMIYU tarehe 23/09/2022 wameitembelea Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kati Benjamini Mkapa (BMH) jijini Dodoma kwaajili ya kujifunza namna ya kutoa ... Read More

KAMBI YA UPASUAJI WA WATOTO WENYE MIDOMO WAZI BURE KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA SIMIYU. MATIBABU HAYO YATAFANYIKA KUANZIA TAREHE 10-14/10/2022,WATOTO WAFIKISHWE HOSPITALINI KWAAJILI ... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu inatangaza nafasi za kuwa mjumbe wa Bodi ya Ushauri ya Hospitali kama ifuatavyo; I. Mwakilishi kutoka sekta binafsi (a Representati... Read More

Wizara ya Afya inatarajia kuja na mfumo wa ufuatiliaji wa taarifa za wajawazito wote toka wanapofika kliniki kwa mara ya kwanza hadi baada ya siku 42 za kujifungua. ... Read More

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu tarehe 19 Septemba, 2020 imezindua Baraza lake jipya la Wafanyakazi, ambapo Mgeni Rasmi katika uzinduzi huo alikuwa ni Katibu Tawala wa Mkoa ... Read More

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu imefanya sherehe fupi ambayo imewakutanisha viongozi mbalimbali ndani ya Mkoa na wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Simiyu tarehe 10 Julai, 2020 ... Read More

Serikali imeweka kipaumbele katika kuwajengea uwezo Watumishi wake ili kutimiza majukumu yao kwa ufanisi ikiwa ni pamoja na kuongeza nidhamu na uwajibikaji katika utumishi wa umma. Hayo yame... Read More