Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu
(Simiyurrh)

Kliniki ya Macho

Posted on: March 23rd, 2025

Huduma za macho zinatolewa kuanzia saa 2:00 asubuhi mpaka 9:30 mchana kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa