IDARA
|
MAJUKUMU
|
utawala
|
Hii ni idara ambayo inashughulikia maswala ya hospitali ili kuhakikisha uendeshaji mzuri wa shughuli zote za kila siku,usalama, ustawi wa jamii, usafi wa mazingira,usafirishaji huduma za mkopo kwa wafanyakazi kutoka benki mbali mbali
pia inahusika na usimamizi wa kifedha, usimamizi wa rasilimali za Hospitali, usimamizi wa habari, uratibu wa mifumo mbali mbali ya Hospitali(TEHAMA)
|
Idara ya wagonjwa wa nje
|
Idara hii inashughulikia
Kliniki ya magonjwa mbalimbali kama kisukari,CTC,
Kifua kikuu / ukoma, Klianiki ya meno
Kliniki ya macho
|
Idara ya upasuaji
|
idara ya upasuaji Inashughulika na upasuaji mkubwa na mdogo
pia inafanya upasuaji kwa wagonjwa wa dharura
|
Idara ya magonjwa ya ndani
|
Idara hii inashughulikia
Utoaji wa huduma bora za matibabu kwa kesi zisizo za upasuaji.
Inayo Wodi ya matibabu ya Kiume na Wodi ya matibabu ya Kike
|
Idara ya watoto
|
Idara hii Hutoa na kuhakikisha afya bora kwa watoto kwa kuwapa huduma maalum za matibabu
|
Idara ya Magonjwa ya Dharula
|
Idara hii inashughulika na usimamizi wa magonjwa yote ya dharura pamoja na wagonjwa wa Rufaa
|
Idara magonjwa ya uzazi
|
Idara hii huboresha afya ya mama na watoto wachanga kwa kutoa huduma bora
|