Hospitali ya simiyu kupokea msaada wa vifaa vya macho
Posted on: November 18th, 2019hospitali ya rufaa ya mkoa wa simiyu inategemea kupokea vifaa tiba kwa ajili ya matibabu ya magonjwa ya macho. wakiongea na timu ya uendeshaji wa hospitali, wahisani hao wanategemea kutoa ufadhili wa vifaa hivyo ambavyo vitasaidia katika kuboresha huduma ya hiyo.