Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu
(Simiyurrh)

KAMBI YA UPASUAJI WA MIDOMO WAZI

Posted on: September 7th, 2022

KAMBI YA UPASUAJI WA WATOTO WENYE MIDOMO WAZI BURE KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA SIMIYU. MATIBABU HAYO YATAFANYIKA KUANZIA TAREHE 10-14/10/2022,WATOTO WAFIKISHWE HOSPITALINI KWAAJILI YA USAJILI