MAADHIMISHO YA SIKU YA WAUGUZI
Posted on: May 11th, 2023Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Simiyu Dkt Juma Katwale akiongea na wauguzi katika siku ya maadhimisho ya wauguzi duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka tarehe 12/05/2023. Kaimu Mganga Mfawidhi alisisitiza ushirikiano wa kazi baina ya wauguzi na utoaji bora wa huduma.