Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu
(Simiyurrh)

MAWASILIANO MADHUBUTI KWA MTUMISHI WA UMMA

Posted on: November 9th, 2019

      Mawasiliano:Upashanaji wa habari kwa njia mbalimbali kama simu, barua n.k.

  • Madhubuti:enye nguvu imara,thabiti, jadidi (imara madhubuti)
  • Kwahiyo mawasiliano madhubuti ni mchakato unaohusu uelewa na utoaji wa habari kutoka kwa tu mmoja kwenda mtu mwingine ili kuwezesha Wahusika wawili kushirikiana kile wanachokiona au wanachokifahamu.
  • Aidha mawasiliano madhubutu yanakuwa sahihi pale yanapofanyika kwa wakati unaofaa na ujumbe unaopelekwa ukiwa sahihi na kwa njia sahihi.


  • KWANINI MAWASILIANO MADHUBUTI.
  • Mawasiliano madhubuti ni muhimu katika Taasisi yoyote ila
  • Mawasiliano hufanyika ndani ya Taasisi katika mazingira ya nje kwa maana ya wadau wengine
  • Kwa mantiki hiyo mawasiliano ni mbinu inayotumika na Taasisi katika kutekeleza kwa ufanisi majukumu yake.
     
  • AINA YA MBINU ZA MAWASILIANO
  • Kiongozi wa Taasisi lazima awasiliane na anaowaongoza kuhusu mambo yaliyokusudiwa kufanyika na pia lazima apate taarifa za utekelezaji.
  •  Katika kutekeleza suala hilo anaweza kutumia aina za mawasiliano zifuatazo:
  • Barua
  • Simu za mkononi
  • Mikutano/ Vikao
  • Ana kwa Ana
  • Lugha ya vitendo
  • Vyombo vya habari kama vile Rdio,Televisheni na Magazeti
  • Michezo, Sanaa za maandishi na maonesho , burudani mbalimbali.


  • MAWASILIANO KWA NJIA YA ALAMA.
  • Calling a Waiter
  • In the United States , a common way to call a Waiter is to  point upward with the forefinger.
  • In Asia a raised forefinger is used to call a dog or other animal.
  • To get the attention of a Japanese Waiter, extend the arm upward palm down and flutterthe fingers.
  • In Africa  knock on the table
  • In middle East clap your hands.

Hand shake and Touching:

In most countries the handshake is an acceptable form of greeting.

In Middle  East and other Islamic countries , however the left hand is considered the toilet hand andis thought to be unclean one is the right hand should be used for touching.

Scratching the Head

In most Western countries Scratching the head is interpreted as lack of understanding or non comprehension To the Japanese it inchcalis arger,

NGAZI MBALIMBALI ZA MAWASILIANO


CHANGAMOTO ZA MAWASILIANO MADHUBUTI  NA MBINU ZA KUZIEPUKA.    

(i). Lugha

 Lugha ni nyenzo kubwa ya mawasiliano mara nyingine watu huelewana  kwa kutumia lugha inayoeleweka baina yao. Endapo lugha inayotumika haindani na jamii  inayohusisha  mwitikio wa jambo litakalokusaidia utaadhirika  hivyo ni muhimu kutumia lugha inayoeleweka  katika mawasiliano yote ya kiofisi na Umma.

Kwa mujibu wa kipengele cha C.1 (3) cha kanuni za kudumu za Utumishi wa Umma ,2009 lugha ya Kiswahili na Kingereza ndizo zinazotambulika kwa mawasiliano yote ya Ki-ofisi Nanukuu.

“Kiswahili and English are the recognized languages in all forms of official correspondence” mwisho wa kunukuu.

(ii) Kusambaza kwa makusudi au uzembe habari za uongo zitakazo hatarisha maslahi ya Taifa au ya mtu binafsi. Kufuatana na Sheria ya Huduma za vyombo vya habari ya mwaka 2016. Kosa hili lina Adhabu ya kifungo kisichopungua miaka 3 na Adhabu ya faini isiyopungua shilingi milioni 5 na isiyozidi shilingi milioni 20.

Kusambaza taarifa zilizokatazwa

Kuwasilisha tamko la uongo kama la kweli.

Kutamka maneno yoyote kwa nia ya kuchochea Uasi

7.0    NAFASI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO (TEKNOHAMA)

Ili  kwenda na wakati kwa lengo la kurahisisha utendaji wa kazi  katika Utumishi wa Umma , Mtumishi wa Umma anatakiwa kuwa na uelewa wa matumizi ya zana za teknolojia ya habari na mawasiliano . Teknolojia hii inalenga kuunganisha ngazi zote za utendaji kazi Serikali pamoja na Wadau wengine wote wa maendeleo.

Kutokana na mabadiliko haya ya Teknolojia katika Nyanja ya mawasiliano na kwa kuzingatia misingi ya Utawala bora inayohitaji Serikali kuendasha mambo yake kwa :

Uwazi

Sheria

Sera

Nyaraka

Kumbukumbu na taarifa  mbalimbali za  Serikali zitapatikana kwa njia ya mtandao wa kopyuta.

    8.0  HITIMISHO.

Mawasiliano dhabiti ni muhimu sana katika utendaji kazi wa kila siku maana huchochea na kuongeza ufanisi na Ubora  wa kazi.

Aidha mawasiliano utuwezesha kujua Nyanja zote za ki-uchumi,ki-jamii,ki-utamaduni na ki-siasa.

Vilele mawasiliano madhubuti utuwezesha kujua kitu gani cha kufanya na ni aina gani ya kitu hicho,kifanyike vipi/je,kifanyike lini,ni nani ahusike kukifanya.


MAGAYANE  T. PROTACE

AFISA UTUMISHI MKUU I

Simu No. 0765821002

Email; prmagayane2015@gmail.com

(Masters Degree HRM, PG- Diploma Regional Planning, ADV.Diploma-Local Government Administration,Certicate in 

 LG- ADM  on PhD- Studies).

REJEA

1. Kanuni za kudumu za utumishi wa Umma,2009  (Standing Orders for the Public Services)

    2. Sheria ya Ndoa , 1971.

    3. Sheria ya Vyombo Vya Habari, 2016.

    4. kanuni za Maadili ya Utendaji katika Utumishi wa  Umma ,2005.

  5. Armstrong’s HandBook  of Human Resource   Management Practise. By Michael  Armstrong ,2009.