Jana Hospitali ya Rufaa simiyu imepokea Jenereta kubwa yenye uwezo wa KBA 250 Genereta hiyo itafungwa karibu na jengo la upasuaji mkubwa litasaidia kutoa umeme wakati umeme unaotole... Read More
Habari
hospitali ya rufaa ya mkoa wa simiyu inategemea kupokea vifaa tiba kwa ajili ya matibabu ya magonjwa ya macho. wakiongea na timu ya uendeshaji wa hospitali, wahisani hao wanategemea ku... Read More
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa amewaasa Wananchi kujenga utamaduni wa kufanya mazoezi walau mara tatu kila wiki kwa dakika 30. Ameyasema hayo leo, wa... Read More
Shirika la Afya Duniani (WHO) limedhibitisha kwa mara ya kwanza kupatikana kwa chanjo ya Ebola . hatua hii muhimu itasaidia kuharakisha utoaji wa leseni na upatikanaji wa c... Read More
Mawasiliano:Upashanaji wa habari kwa njia mbalimbali kama simu, barua n.k. Madhubuti:enye nguvu imara,thabiti, jadidi (imara madhubuti) Kwahiyo mawasiliano madhu... Read More
Timu ya Mashabiki wa Yanga dhidi ya Mashabiki wa Simba toka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu zimetoka sare ya 2-2 kwa mechi iliyochezwa hapo jana tarehe 9/10/2019katika uwanja wa mpira w... Read More
Na Hierceinter H Silyimbo Wananchi wa Mkoa wa Simiyu wamefurahia huduma ya vipimo na uchunguzi wa magonjwa ya uzazi na vizazi iliyokuwa ikifanyika toka tarehe 21-25 Oktoba 2019 katika viw... Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluh Hassan amezitoa wasisi Nchi wanachama wa SADC kuwa Bohari kuu ya Dawa (MSD) imejipanga vizuri kuhakikisha jukumu la uratibu... Read More
Serikili kupitia Wizara ya Afya imefanikiwa kupunguza maambukizi ya malaria kwa takribani asilimia 50% kutoka 14.8% mwaka 2015 mpaka kufikia 7.3% mwaka 2017. Hayo yamesemwa leo na Waziri ... Read More
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Dorothy Gwajima amesema hatuwezikani kuipeleka nchi kwa kila mtu kuwa na mwendo wake, kwakuwa mwendo uliokubalika sa... Read More