Huduma za Mionzi
Posted on: November 13th, 2024Idara inajitahidi kuhakikisha kuwa vyombo vyote vya radiolojia vinapatikana na uchunguzi wa mionzi unafanywa kama inavyotakiwa na waganga. Kawaida haitoi huduma ya muda mrefu au muendelezo lakini magonjwa mbalimbali hutambuliwa na huduma sahihi hutolewa kulingana na utambuzi wa magonjwa ya papo hapo na magonjwa sugu.
Mashine zinazopatikana ni pamoja na;
Ultrasound inayoweza kuhamishika (Portable)
Mashine ya X-Ray ya dijitali
Mashine Nzito ya Ultrasound(Heavy duty).