Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu
(Simiyurrh)

Ukaribisho

profile

Dr. Athanas Ngambakubi
Mganga Mfawidhi

Karibu katika tovuti yetu rasmi ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu na tunakushukuru kwa kuitembelea. Tunakualika ujue zaidi kuhusu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa na utumie huduma zinazotolewa. Tovuti hii ni zana muhimu ya kutusaidia kushirikiana na wewe.

Kwa kutumia tovuti hii, utaweza kutafuta habari unayohitaji na pia kupata habari na huduma zingine muhimu kuhusu sisi, na utaweza kujifunza zaidi juu ya taratibu na sera zinazopatikana katika Hospitali yetu Madhumuni ya Hospitali yetu, ni kujifunza na kuboresha huduma zetu.

Tunakaribisha maoni yako tunapoendelea kuboresha huduma zetu na tovuti hii. Kwa niaba ya Hospitali, nakukaribisha rasmi kwenye tovuti yetu .