Kambi ya Madaktari Bingwa Kuanzia 01/06/2026 Jumatatu - 05/06/2026 Ijumaa
Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Simiyu itakuwa na Kambi ya Madaktari Bingwa (Magonjwa ya ndani, Watoto,Macho,Ngozi,Mifupa na Viungo,Upasuaji,Pua Koo na Masikio,Shinikizo la Damu,Sukari,Figo na Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi) Kuanzia 01/06/2026 Jumatatu - 05/06/2026 Ijumaa. Mawasiliano Piga 0789602283, 0783032706


