Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu
(Simiyurrh)

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA KUJITOLEA

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu, inatangaza nafasi saba (7) za ajira za kujitolea kwa kada Mbalimbali kwa muda wa mwaka mmoja


TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA KUJITOLEA.pdf 

- 01 December 2025