Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu
(Simiyurrh)

Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani kwa Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu

Posted on: May 26th, 2026

Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu wakirudia viapo vyao katika maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani tarehe 26.05.2026.