Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu
(Simiyurrh)

TAKUKURU yakabidhi vifaa tiba katika wodi ya Watoto wachanga Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu

Posted on: March 2nd, 2026

Mkurugenzi wa TAKUKURU Taifa Bw. Crispin F. Chalamila (Kushoto) akabidhi vifaa tiba kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu Dkt. Athanas Ngambakubi (Kulia) tarehe 4 mwezi Machi, 2026. Tukio hilo lilishuhudiwa na mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe. Anamringi Macha (Katikati). Vifaa hivyo ni Phototherapy Machine na Radiant Warmer.