dira
Dhamira ya Hospitali
Kutoa huduma za kliniki za hali ya juu, uchunguzi wa kisasa, kinga, utafiti na mafunzo kwa kutumia wafanyakazi waliohitimu ili kutoa huduma bora za afya ndani ya mkoa na kwingineko.
Dira
Kuwa Hosiptali ya Rufaa ya Mkoa bora katika kutoa huduma bora za afya zinazoimarisha jamii yenye afya na tija katika Mkoa na kwingineko