Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu
(Simiyurrh)

Malengo

Kutoa huduma inayozingatia matakwa ya mteja.

Kutoa huduma za matibabu ya kibingwa  ndani na nje ya mkoa

Kujenga dhana ya ukweli na uwazi kwa mteja wetu.

Kutoa huduma za afya zinazopatikana kwa  gharama nafuu