Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu
(Simiyurrh)

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 12 ZA KUJITOLEA

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu, inatangaza nafasi kumi na mbili (12) za ajira za kujitolea kwa kada Mbalimbali kwa muda wa miezi kumi na mbili (12)


TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA KUJITOLEA.pdf

- 05 September 2023