Hospitali ya Rufaa Simiyu yapokea jenereta kubwa
Posted on: November 18th, 2019Jana Hospitali ya Rufaa simiyu imepokea Jenereta kubwa yenye uwezo wa KBA 250
Genereta hiyo itafungwa karibu na jengo la upasuaji mkubwa litasaidia kutoa umeme wakati umeme unaotolewa na TANESCO kuwa umekatika