Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu
(Simiyurrh)

MAADHIMISHO YA MWAKA MMOJA WA HOSPITALI SIMIYU

Posted on: September 25th, 2019

katika kuadhimisha mwaka mmoja wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu tangu ifunguliwe na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh John Pombe Joseph Magufuli tarehe 08/09/2019, Hospitali imefanikiwa kuhudumia jumla ya wateja 257 bure ambapo kila mmoja aliweza kupata uchunguzi wa maabara, uchunguzi wa magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama vile presha na kisukari na pia kupata dawa za magonjwa mbali mbali waliyokutwa nayo
kampeni hii imefurahiwa na wananchi wengi kwani pamoja na yote hayo wananchi walipewa elimu ya afya pamoja na kujikinga na magonjwa mbalimbali .
Pia wananchi walifurahi kuelimishwa juu ya wa homa ya ini, madhara na chanjo ya ugonjwa huo