Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu
(NYAUMATA MKOANI)

nafasi za kuwa mjumbe wa Bodi ya Ushauri ya Hospitali

Posted on: June 17th, 2021

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu inatangaza nafasi za kuwa mjumbe wa Bodi ya Ushauri ya Hospitali  kama ifuatavyo;

I.    Mwakilishi kutoka sekta binafsi (a Representative from the Private sector)

II.    Mwanasheria/ wakili   (Legal Officer/Advocate)

III.    Afisa Mstaafu Mtaalam wa afya au Ustawi wa Jamii (Prominent retired Health/Social Welfare Personnel)

IV.    Mwakilishi kutoka Umoja wa wanawake unaotambulika (a representative from recognized women Organization)

V.    Mwakilishi kutoka Asasi ya Kiraia (Representative from Civil Society Organization (SCOs)

VI.    Mtaalam nguli wa masuala ya Fedha (Prominent Financial Management Expert)

VII.    Mwakilishi kutoka vyama vya wafanyakazi (Representative from Health Workers Union)

VIII.    Mwakilishi kutoka kwenye Halmashauri/Wilaya (Representative from Districs)

IX.    Mwakilishi kutoka kwenye vituo vinavyotoa huduma za afya ya Msingi ndani ya Mkoa (a presentative from Lower Health Facilities in the vicinity)

X.    Wawakilishi wawili (2) wa jamii wanaotumia Huduma za Hospitali  / kituo                      (Two Representatives from Community representing users of the Facility)

MASHARTI KWA WAOMBAJI

i.    Waombaji wote wawe Raia wa Tanzania.

ii.    Awe anaishi katika Mkoa wa Simiyu.

iii.    Mkataba wa kuwa mjumbe wa bodi  ya ushauri ni miaka 3 tu.

iv.    Mwombaji anatakiwa kuandika barua ya maombi ya kuwa Mjumbe wa Bodi ya Ushauri ya Hospitali akiambatisha maelezo binafsi (CV)

v.    Maombi yatumwe kwa njia ya posta kupitia anuani ifuatayo;-

Mganga Mfawidhi,

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simyu,

S.L.P 17,

Bariadi

vi.    Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 02 Julai,  2021

    Limetolewa na 

MGANGA MFAWIDHI

HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA SIMIYU

17 JUNI, 2021

[17/06, 17:08] Meshack Masomhe: Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu inatangaza nafasi za kuwa mjumbe wa Bodi ya Ushauri ya Hospitali  kama ifuatavyo;