Wagonjwa wa Nje
Posted on: May 23rd, 2022
Huduma zinazotolewa hapa zinajumuisha
Ushauri wa jumla
Elimu ya afya na ushauri nasaha
Kliniki za afya mbalimbali
Uchunguzi wa kimatibabu
Chanjo (Chanjo homa ya ini, kichaa cha mbwa & Pepopunda)
Huduma za utambuzi kwa ushirikiano na idara zingine