Famasi
Posted on: December 21st, 2024Sehemu ya dawa inawajibika kwa kuhakikisha upatikanaji wa dawa wakati wote, dawa zenye ubora unaokubalika, usalama na ufanisi kwa Jamii. Pia hutoa habari ya dawa juu ya matumizi sahihi ya dawa, athari mbaya pamoja na huduma za kinga.